Voda internet vs torrent | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Voda internet vs torrent

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by babumufty, Feb 23, 2012.

 1. babumufty

  babumufty Senior Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Jamani kwa anayefahamu jinsi ya kuunganisha any torrent software na ile internet yetu ya voda yakuchakachua.naomba atusaidie
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Husomeki mkuu
   
 3. babumufty

  babumufty Senior Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Hakijaeleweka nn sasa hapo
   
 4. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  unachouliza
   
 5. babumufty

  babumufty Senior Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kwawale wanaotumia internet ya voda free anaye jua ku connect na uttorent anifahamishe
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,773
  Likes Received: 7,085
  Trophy Points: 280
  Haiwezekani trick ni http trick (sababu tunatumia proxy) na torrent ni udp/tcp so ni vitu viwili tofauti
   
 7. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Haswaa!
   
 8. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  you sure about using UDP and TCP? torrent application?!! i dont think so
  Can you please explain it?
  Maana nikijaribu kufikiria sielewei concept ya TCP and UDP kwenye torrent.
  Kwani kwenye HTTP, isnt TCP together with IP the backbone of the http connection?

  SORRY IF IT MAY SOUND BAD TO YOU BUT IAM TRYING TO UNDERSTAND AND I GUEC ALSO THE REST OF MEMERS
   
 9. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,773
  Likes Received: 7,085
  Trophy Points: 280
  Its ok what i know is that torrent inatumia tcp ambayo inasuport vipande vya download kuwa downloaded kwa mda mmoja. tuchukulie tunadownload game lina 1 gb .

  Kwa torrent hili game linaweza kuwa subdivided part nyingi ndo mana kwenye torrent kuna peer to peer yani some part utadownload kutoka server zao some part mwenzako anaedownload anaku uploadia wewe na wewe vile vile unam uploadia mwenzako.

  Hii definiton ya bittorrent
  "Bittorrent is a way for a client to figure out what
  peers that have a piece of a particular file so that it
  can get pieces from those machines instead of
  getting the entire thing from a single (central) place."

  Ila kwa http huwezi divide file kwa way kama torrent

  Mfano mzuri tumia idm bila proxy utaona idm inagawanya file na kudownload fast then weka proxy kwenye idm utaona idm inashindwa kugawanya file na inadownload as whole
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama amekuelewa,ebu mfafanulie ki-end user.
   
 11. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  There is a way.. BUT bdo niko nafanya testing na final touches nikifanikiwa nitapost hapa the only setback ni kwamba speed ni limited itakuwa sio ile 350KBPs itakuwa around 50 - 60 KBPs so Just wait ntaleta soon iyo njia :poa
   
 12. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  SErver zao?? i dont think so brother? nahisi piratebay ingekuwa ishakuwa down. So ukisema server zao itakuwa ina work kwenye enviroment ya client server..
  Wakati the definition says::Bittorrent is a way for a client to figure out what
  peers that have a piece of a particular file so that it
  can get pieces from those machines instead of
  getting the entire thing from a single (central) place."

  so inamaanisha the file is only shared by users and not the servers,i guec ndio maana ukitaka kudownload kitu inabidi uzingatie seeders first..

  ME NAHISI HIVI

  HII TCP/IP inatumika just kuprovide connectivity. As you know TCP and UDP are on transport layer on OSI reference model..

  suali: ni protocol ipi inatumika kwenye torrent.lets kwa file transer FTP, for browser HTTP and secured browsing HTTPS
   
 13. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  we do wait for it, hope you figure it out soon
   
 14. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  HTTP inafanya kazi juu ya TCP. Ila kuna mambo mengi hao waendesha prozy wanaweza wakawa wanafanya kuzuia torrents kama kublock port ambazo sio za HTTP so jaribu kuset torrent client yako iwe inatumia port 80, au labda port ya hiyo proxy.
   
 15. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  OFCZ MAN, HTTP ni application protocol!! and yap The packet switching feature on TCP discovered after circuit switching
   
 16. SINA JINA1

  SINA JINA1 JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Humu kuna lugha ngumu ambayo sio friendly user...nawasailimu na kuondoka.
   
 17. d

  dav22 JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Ni maelezo ya kitechinical zaidi kwa watu wa ICT tunaelewa nn kinaongelewa....
   
 18. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #18
  Feb 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,773
  Likes Received: 7,085
  Trophy Points: 280
  Yah wanazo server kaka pitia terms and condition za website hosting nyingi moja wapo lazma watasema huruhusiwi kuhost torrent katika hosting zao. Jiulize kitu kimoja una upload mfano 12kbps then unadownload 200kbps sasa mbona wa upload vichache na wadownload vingi vyengine vyatoka wapi?

  Then ukumbuke kwenye torrent kuna seeders hawa ni kina nani? Mfano seeder wakuta ni ss2.isohunt.com hawa seeder unaweza kuwaongeza manual. So hawa seeder ni server wanahost kwenye web hosting mbali mbali ambazo zinakutupia wewe
   
 19. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Site za torrent hazihost file, zinachofanya ni kuwa central hub(tracker) ambayo kila mtumiaji torrent anawaambia ana files gani na anatafuta file gani. Hii ndo utetezi wao mkubwa wanaoutumia kuwa wao hawavunji sheria kwa vile sio wao wanaosambaza file, wangekuwa wanasambaza wao kungekuwa hakuna mjadala kabisa.

  So ukitaka movieA, torrent client yako inaiuliza tracker nani anayo file hiyo unapata list ya IP address za watu wanaoshare file hilo na unadownload vipande kutoka kwa watu tofauti, at the same time torrent client yako inaipa tracker list ya file au vipande vya file ambavyo wewe unashare ili watu wengine waweze kudownload kutoka kwako.
  Hii pia ndo sababu ni rahisi kugundulika nani anashare na kudownload file ipi, kwa kuwa I.P yako lazima iwe hadharani ukiwa unatumia torrents.
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwanini Ares Galaxy inakataa ku download kutoka modem ya TiGo? kuna mwenye ujanja wa kuruka viunzi?
   
Loading...