Kuna mtu Voda anafuatilia sana namba zangu za simu

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,217
1,259
Ninahisi kuna mfanyakazi Voda ambaye amekuwa akifuatilia namba zangu nilizozisajili katika mtandao husika. Amekuwa anajua taarifa zangu hata nilizotuma kwa msg miaka tisa iliyopita. Japo msg si mbaya, lakini naona kaingilia uhuru wangu; kwa kuwa mimi si mtuhumiwa. Wapi nikatoe malalamiko yangu? Nifanyeje?
 
Umejua je? Huyo mtu umemfahamu?
 
Back
Top Bottom