sokolaboro
JF-Expert Member
- Dec 1, 2011
- 313
- 54
Naomba kujulishwa ni satellite receiver aina gani ina faa hapa Tanzania inayoweza kupata tv channels nyingi?
Tafuta Strong Mpg4 mara nyingi huweza kufungua hadi channel za kulipia.
Tafuta Strong Mpg4 mara nyingi huweza kufungua hadi channel za kulipia.
FF that is too low........Unahitaji channel nyingi zanini? unaweza kutazama ngapi kwa wakati mmoja?
FF that is too low........
Hivi mkiolewa na mume mmoja huwa anaweza kulala na wote kwa wakati mmoja?
sio kila sredi lazima uchangie rejea sredi yako https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/215588-how-to-disagree.html
Hili ni jukwaa la teknolojia watu wanataka maujanja na si siasa wala chit chat, twende taratibuNimemuuliza swali valid kabisa na kutokana na mleta mada kama ana akili timamu kisha elewa, tatizo ni wewe ambae umeelewa lakini unajifanya hujaelewa. Kwa ufupi, kujaza ma-channel mengi ni ushamba na kujionesha lakini hayana faida yoyote. Unless awe anataka kufanya biashara ya kugawa tena hizo channel.
Unashangaa wanaoowa? hushangai wanaooa mmoja na wanatembea nje ya ndoa? wanapata faida gani?
Jibu hapo ni anaweza kuangalia chaneli moja tu kwa wakati mmoja, sasa inamaana unamshauri awe na king'amuzi kinachoonyesha chaneli moja tu kwa sababu anaweza kungalia chaneli moja kwa wakati mmoa? na kuwa na chaneli nyingi ni ushambaUnahitaji channel nyingi zanini? unaweza kutazama ngapi kwa wakati mmoja?
Hili ni jukwaa la teknolojia watu wanataka maujanja na si siasa wala chit chat, twende taratibu
Rejea bandiko lakoJibu hapo ni anaweza kuangalia chaneli moja tu kwa wakati mmoja, sasa inamaana unamshauri awe na king'amuzi kinachoonyesha chaneli moja tu kwa sababu anaweza kungalia chaneli moja kwa wakati mmoa? na kuwa na chaneli nyingi ni ushamba
Je unajua kama ving'amuzi vyote vina chaneli nyingi kuanzia vya bila malipo startimes,ting,easy tv, dstv nk, je huu ni ushamba?
Huo u valid wa swali lako ni upi hasa? labda kwa mujibu wa upeo wako wa kufikiri umekomea hapo.
Hebu pitia majibu ya wenzako waliyompa ndio utajua kama swali lako ni valid au upupu
Kitaalamu inaonekana upo kwenye kipindi cha menopause, mara nyingi wengi huchanganyikiwa wakifikia kipindi hiki na kuanza kuropoka upupu,Kuwa jukwaa la teknoloji haimaanisha kuwa vinavyoulizwa vyote vina maana. Kuhusu uelewa wako ndio nnauona uko duni sana, ulipoleta swala la ndoa za wengi ulikuwa hujui kama hili sio jukwaa la ndoa? Unanchekesha, kama kuna aliyetoka nje ya jukwaa ni wewe, au hujioni kuwa wewe ndiyo ulijibu nje ya mada kabisa tena ukaonesha dhahiri shahiri kuwa ni punguani.
Swali langu valid kabisa kwa mwenye uelewa ila kwa majibu yako nakuona uelewa wako umeishia kwenye kuolewa tu na si kuelewa, huko hauna. Yes, huo si ushamba tu bali ni upunguani.
Wewe unaonesha ni katika wale ambao upo zaidi kwenye quantity na si quality. Ukilielewa hilo utajijuwa kuwa bado huna uelewa. Na nna uhakika huto lielewa kwa kuwa huna uelewa.
Naomba kujulishwa ni satellite receiver aina gani ina faa hapa Tanzania inayoweza kupata tv channels nyingi?