Je keygen, crack na hacking hutumiwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je keygen, crack na hacking hutumiwaje?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by eedoh05, Feb 24, 2012.

 1. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Nisaidieni kunipa maarifa/elimu ya jinsi ya kutumia keygen, crack kufungua au kuzibua software kwenye pc. Nimedownload keygen, ikaja katika winrar. nimei unzip imenipa mafaili matatu. hapo nimekwama sijui niendelee vipi. Msaada please!
   
 2. mkwatis

  mkwatis JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2008
  Messages: 336
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  screen shot hizo contect ,keygen -huwa inatoa keys kama umenunua soft,crack inaweza kuwa patch exe unaoverwrite the installed prog,hack ni unallowed pass
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu swali lako halijakaa vizuri
  Keygen ni kifupi cha cha keys generator yaani kazi yake ni ku generate keys za software husika
  Crack ni kuichakachua software husika kwa kumodify ili itumike bila keys
  Ingekuwa vizuri ukisema umedownload software ipi na ikawaje

   
 4. sambenet

  sambenet Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa vizuri kama ungeweka screen shot kama alivyokushauri Mchangiaji hapo, Kukusaidi ni vigumu bila hizo shots
   
 5. d

  dav22 JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  keygen inafanya kazi kulingana na keygen ya software gani...so unaweza may be kutueleza ni software gani uliodownloadia hiyo keygen??
   
 6. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Nili-download Sony vegas movie studio 4.0 Trial. Pia nikafanya hivyo kwa Pinnacle Studio 9 Plus Trial. Web niliyopatia hizo crack ni Keygenguru.com. Ktk web hii unaweza kupata serial lakini wakati mwingine wanakua link ya kupata crack kwa software yako.
   
 7. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mkuu kama ulisearch katika hiyo website basi lazima watakupa option mbili endapo wanazo hizo keys..ya kwanza watakupa option inayosema "show serial number" au option ya pili inasema "download crack/keygen".huna haja ya kudownload crack/keygen sababu ukiingiia kwenye option ya kwanza huwa mara nyingi wanakupa keys zaidi ya moja so wameshakurahisishia kazi..so cha kufanya wewe tumia hizo keys zao tu..

  kama ulisearch keys alafu wenyewe hawakukupa majibu wakakupa links za kuangalia hizo keys ambazo zinakudirect kwenye website nyingine basi kuna hatihati ya hizo keys kutofanya kazi sababu hawa jamaa keys zao huwa zinafanya kazi ila kama wakiona keys zinazingua hawaziweki kwao badala yake wanakupa link ili wasiharibu jina lao.mimi nimekuwa nikitumia hiyo website kwa muda sasa na mara nyingi nikitumia huo mpango wa link wanazozitoa huwa sifanikiwi. jaribu kuangalia hizo keys kwenye hapa .

  Ukija kwenye swala lako kutaka kujua maana ya keygen na crack ndugu zangu waliotangulia wameshakueleza vizuri kabisa. labda kama unataka maelezo zaidi useme ni wapi hujaelewa.
   
Loading...