Dear Apple fanboys mpo mbona kimya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dear Apple fanboys mpo mbona kimya?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ThinkPad, Mar 17, 2012.

 1. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa wale wapenzi wa simu za tunda yaani apple nadhani sasa hivi hamna kelele tena naona kimya kingi,
  Na wale vijana wa gooogle yaani android ndo kwa sasa wako juu,

  Naomba niwafikishie poree wale wapenzi wa iphone.

  angalia hii LINK
   
 2. i411

  i411 JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wewe kweli kiazi wenzio tunaa review Ipad 3 ndo imetoka na better resolution killer feature were bado unangangana na old stuff tushashinda huko. yani ikitoka iPhone 5 too mistari kibao watt wanakesha wiki kupata tuu kitu kwa mara ya kwanza zebu nikumbushe simu gani ya android kati ya kama miamoja na zaidi ilishawahi kusubiriwa kwa mkesha na hamu. Bonyeza hapa uone jinsi Ipad 3 inavyo subiriwa kwa mkesha na inavyopokelewa kwa furaa na wenye hela zao na wasio na chuki.
   
 3. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  sawa lakini ujumbe um
  eupata ha ha, Hamna jinsi hiyo ipad 3 ina kipi kipya?
   
 4. i411

  i411 JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  haina kipya but got the positive vibe umetupata hapo watt wanaweza keshea but u guys with your many companies using adroid operating system can't cultivate that positive vibe. i hope u did just c how iPad 3 ilivyokeshewa that is something hasn't happened with adroid devices yet, when that happen i wil be worried but not now.
   
Loading...