Jamani nitajua vipi simu yangu inatumia 3G au 2G kwenye Network nifahamisheni!!!!!!
Pembeni ya signal bar inaandika G-gprs, E-edge au 3G H-hsdpa
nimeelewa kaka vipi kama utatumia modem ya AIRTEL kwa laptop hapo utakuwa unatumia 3G au 2G ? Na kama upo Dodoma
2G(GPRS),2.5G(EDGE),3G,WCDMA etc Ni Mobile Technology!!! Naungana na mdau kwa bongo ni kudanganya watu tu,we ushawahi ona wapi unajiunga na 3.75G kwa kusubscribe??? Je hyo simu ipo capable kwa hyo tech?