Nimecheza nayo hapa imenitoa jasho hii Nokia X2

nxon

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,162
Reaction score
408
wakuu tatizo ni kwamba nikiweka line ya TiGO inakataa ku access internet inaleta msg flani kwamba fail to connect to the internet na configuration za tigo zipo fresh tu....
ila nikiweka voda na access fresh. masaada wenu wataalamu wa mambo!!
 
Tumia settings za airtel.weka default itafanya kazi
 
Back
Top Bottom