Wakuu hebu tujuzane, hivi ile huduma ya Airtel free internet kuanzia saa tano wameitoa? Mbona mida ikifika nikijaribu kuunganisha net inakula ela? Yaani wamerudisha ile huduma ya 2500/= halafu...
Wakuu naomben msaada wenu.
Kuna LUKU 2 zinaandika low supply na zikiandika hivyo zinakata umeme kabisa na mda mwingine unaweza ukawasha na zikakubali na huku zimeandika low supply..
Je hapo...
wakuu mi napenda kujuzwa kuhusu teknolojia inayotumika kufanya watu kwenye muvi kuonekana kama twins wakati ni mtu mmoja au mtu kuigiza nafasi zaidi ya moja eg. Coming 2 America, Double...
Airtel wamerudisha uduma yao Mb400 kwa 2500
tuma Internet kwenda 15444
]Umefanikiwa kujiunga na kifurushi cha INTANETI kinachokupa MB400 kwa muda wa siku 30.Kuangalia Salio lako tuma neno...
Ninahisi kuna mfanyakazi Voda ambaye amekuwa akifuatilia namba zangu nilizozisajili katika mtandao husika. Amekuwa anajua taarifa zangu hata nilizotuma kwa msg miaka tisa iliyopita. Japo msg si...
Hi you all!!!
Ninaombeni msaada wenu kwa uzoefu wenu ni ipi software nzuri ya kutengenezea flash slide show galleries ambayo mwishowe inaweza kutengeneza html za hiyo gallery au namna nyingine...
Wakuu naomba mnisaidie nini cha kufanya baadhi ya key kwenye laptop yangu HP PAVILLION DV 6000 zinasumbua sana, zinaweza fanya kaz lakin kuna saa nikiizima nikiwasha hazifanyi kazi
Kwanza naombeni samahani kwa kuchanganya lugha mbili. Nafikiria kuanzisha biashara ya ISP(Internet Service Provider), Tanzania, ninajua kuna mahitaji kama kuwa na business plan, kuwa na corporate...
Hallo wataalam wangu wa kompyuta na mambo ya IT. Nina modem ya Vodacom ninayoitumia kubarizi internet.Ni hii modem ndogondogo size ya flash disk.Nikishafanya connection inafanya kazi kama nusu saa...
Nisaidieni kunipa maarifa/elimu ya jinsi ya kutumia keygen, crack kufungua au kuzibua software kwenye pc. Nimedownload keygen, ikaja katika winrar. nimei unzip imenipa mafaili matatu. hapo...
hey wana jf
Najua kuna watu wanapata shida hasa wanaotumia internet kwa proxy maana hawawezi kudownload torrent. So leo nitawapa njia ya kudownload torrent directly bila kutumia client yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.