naitaji kufundishwa jinsi ya kudownload movie.nipo tayari kumlipa mwalimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naitaji kufundishwa jinsi ya kudownload movie.nipo tayari kumlipa mwalimu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by frozen, Mar 15, 2012.

 1. frozen

  frozen Senior Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wadau nataka somo la jinsi ya kudownload latest movies, nipo tayari kumlipa mwalimu vile tutakavyokubaliana, asantdm
   
 2. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  mimi nakupa somo la bure.
  Weka torrent downloader kwenye comp uwe na bundle za kutosha.
  Sasa mfano ingia isoHunt
  Then kwenye search andika movie yoyte mpya uitakayo. Itakuletea options kibao za kudownload. kila option ina sehem ya comment ambazo waliosha download wakaangalia wamecomment about it sasa soma hizo comment. Ambayo utaona wamesifia sana quality ya pic na sound ndo uclick download. Comp itadownload file lina kb kadhaa ikimaliza click open automatically hiyo movie itaanza download automatically kwenye torrents.
   
 3. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi nakupa somo la bure,ACHANA NA TORRENTS!zitakupotezea muda wako tu!
  ---Believdat---
   
 4. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  torrents poa mbona mimi jpili medownload movie 7 mpya, ghost rider 2, john englishs 2012, john carter, twilight saga, transformer mpya, underworld.
  Tena bila tatzo na kwa line ya tigo ya free internet very fast saana
   
 5. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tigo inaspeed huko kwenu tu mkuu,wengine huku ni below 10KB/s !Unasema movies 7 tu?Mimi wakati naangalia movie 1 nadownload nyingine 7 na kabla movie haijaisha zinakuwa tayari zote!!!!!Sasa we unadhani ungetumia njia yangu ya Mediafire ungeshusha movies ngapi kama zaidi ya 20 kwa siku??Torrents sio!
  ---Believdat---
   
 6. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huku kwetu Zantel ndio atleast fresh,speed ya mchana haishuki 160KB/s na usiku haishuki 200!
  ---Believdat---
   
 7. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  Mimi nimedownload movies saba kwakuwa ndizo nlikuwa napenda after that nkaanza shusha masoftwares. Sasa rafiki yangu wewe mimi hapa tigo inachezea kb 200 mpaka 450 haishuki 200 utanishndanishaje na wewe wa kb 160.
  Haya sasa kama torrents haifai si useme ni kipi kinafaa.
   
 8. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  zantel bundle unanunua vipi?
   
 9. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijajishindanisha na wewe,nilichosema ni kwamba kama mimi speed yangu ni ndogo hivyo je kwako huko kwenye kubwa ukiwa hudownload kupitia torrents si itakuwa balaa zaidi!!!
  Nenda hapa uone movie moja unaipata kwa muda gani www.urgrove.com
  Maelezo zaidi utayapata humohumo.
   
 10. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  Nimeona mkuu pamoja sana. Kweli ama speed yako na una bundle ya kulipia hata kama ni gb 3 torrents haifai coz wakati ina download ina upload pia so inakula sana bundle lakini mimi naipenda coz inakupa uwigo mpana wa kutafta movies halafu si lazima udownload kitu mpaka ukimalize unaweza endelea baadae.
  But nimependa pia hiyo site kesho nta download movies hapo as nimeona zinakuwa na mbs chache. Tnx in advance
   
 11. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pamoja mkuu!Hata hizo movies za hiyo site unaweza resume kama uliishia njiani ukitumia IDM,kuna thread humu nliiandika jinsi ya kuresume movies za Mediafire kupitia IDM.Search utaipata.
  Cha msingi we andika jina la kitu chochote kwenye Google na mbele yake ongezea neno Mediafire,utadownload fast!
  Mfano search kwenye Google,Ghost Rider 2 mediafire,utapata site za kudownload fast!
  ---Believdat---
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Nimeitafuta hiyo Believdat naona mapicha ya wanwake wa Kiithiopia tu ? au ndio hiyo uliyokusudia Believdat yenyewe?

  Mkuu hiyo Believdat ndio hii ni ni hebu ona
  My Video - Broadcast Yourself - EthioSpot.com
   
 13. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,768
  Likes Received: 7,076
  Trophy Points: 280
  Mnhh john english reborn, transformer, twilight zote za mwaka jana banaaaaaaaa
   
 14. frozen

  frozen Senior Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ebwana na shukuru sana kwa maelezo hapa juu, vipi kuhusu quality ya videos na sauti ipo vizuri?
   
 15. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  Yap mwaka jana mwishon, but john carter, underworld za mwaka huu
   
 16. l

  lijumbete Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  sorry wakuu mimi huwa just I write tubeplus then pale wanakuletea movie kibao ww tu unaselect pamoja na series, then uki install realplayer downlod inakuwa poa pia. Ila naomba mnijuze kwa hizi net za vyuoni au kwenye taasisi ambazo wanalimit kudownload movies unafanyaje ili udownload maana wanafaidi watu wa IT tuuu huku watoa ada tunaishia kusomA VITABU TU PLZ NIPEN WAY NIWAMALIZE
   
 17. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  Tnx mkuu nmeinasa hyo ntaitumia tnx alot
   
 18. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Jamani hizi free tigo internet zinapatikanaje!!!???

  asanteni
   
 19. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #19
  Mar 16, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,768
  Likes Received: 7,076
  Trophy Points: 280
  Duh upo udom nini?

  Its easy kubypass security za chuo tumia proxy au vpn sema speed nyingi za chuo zipo slow speed ikizidi 20kbps

  kama wewe ni beginner nakushauri download hii vpn kwanza inaitwa pdproxy ingia website yao pdproxy.com then fungua account then download hio software yao.

  Utaanza connect net ya chuo halafu conect vpn (pd proxy) then browse web yoyote utaona inafunguka hata ambayo chuo wameiblock.

  Kama utaona pd proxy imekubali na ushapata uzoefu kidogo kuna vpn zengine zinazotumia open vpn client za raptorvpn, vpnvilla, hotspot shield vpn, cyberghost, cproxy just google it u enjoy
   
 20. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahaha!Hapana mkuu,hiyo believdat ni signature yangu tu
  .
  ---Believdat---
   
Loading...