Mi nikushauri tu hiyo software haina maana adobe wapo kama wana bifu na nokia.
Toka wanaizindua hio software ilikua na weakness moja ili uview document yote inabidi uscroll left na right (yani huon maandishi yote kwenye page ya simu mpaka ubonyeze button ya kulia)
Wadau kwenye forum ya adobe wakalalamika wee lakini kila versio mpya hawalisolve. So usidownload itakupa shida now ipo alternative yake ya kusoma pdf
Hii soft ina column view ambayo ipo optimized kwa simu hutapata shida ya kuscrol, utasoma vitabu vizuri
link hio apo chini ipo signed na ni free
http://waptanga.tk/1/pdfjoshamto.sis
Click download file