Msaada Antivirus imeexpire,haiuptudate na imegoma kutoka!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Natumia avast lakin tangu wiki mbili ilikuwa inagoma kuuptudate na kuuninstal kwa sasa imeexpire the same way inagoma kuuninstall nimejaribu kutumia Revo uninstaller bado haitaki inarudisha msg kuwa avast setup fatal error
Error reading product data from"c:\program files\ AVAST software\Avast\setup\. can not continue msaada plz je nifanyaje kuitoa? na nikifanikiwa niweke antivirus ipi?
 
thanks kang nimefanikiwa kuitoa isipokuwa kuweka antivirus nyingine bado najifikilia hiyo microsoft securit essential itanisaidia kweli na kama ulivyosema ni ya bure naomba pia kujulishwa kuhusu hilo na kama kuna msaada zaidi wa aina gani ya antivirus ni nzuri na ntaipata kiurahisi nahitaji msaada zaidi kuhusu hilo. nawakilisha!
 
Back
Top Bottom