Msaada kudownload mafaili kwenye simu nokia E61i na N900 kwa kutumia proxy za bure | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kudownload mafaili kwenye simu nokia E61i na N900 kwa kutumia proxy za bure

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Matunyengule, Mar 17, 2012.

 1. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 701
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Wataalam nitangulize shukrani za kwa e2themiza na Chief mkwawa kwa michango yao mikubwa katika jamvi hili. Ninaomba msaada jinsi ya kudownload mafile ya youtube kwenye simu yangu ya nokia N900 kwani zimekuwa zinagoma kila ninapotumia proxy zile za bure. Vile vile kila nikidownload kwenye Nokia e61i mafaili yanakubali lakini yote yanaandika browse.php hivyo ninashindwa kuyatumia. Naombeni msaada wenu wataalamu.
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Inategemea na hio proxy unayotumia na aina ya file unalodownload

  Mfano ukitumia proxy hii 66.135.50.150 kama unadownload mp3 file litaitwa index.mp3 so ukimaliza kudownload utalirename.

  Kama proxy kwa simu inaandika browse.php ni vizuri ukadownload file zilizofungwa katika zip au rar. hii itakusaidia uki extract hiyo browse.php kupata real file. Usiwe na wasi hata kama imeishiwa na .php stil zipmanager itadect

  Unaweza tumia operamini 12 (symbian) nafkiri ipo fast zaid kudownload na seting zake ni kama browser ya simu tu hii itasaidia kuweza kusave file kabla huja open maana browser ya simu ina tabia kama file hailitambui inafanya auto delete.

  Hope umenipata
   
 3. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 701
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nimekupata mkuu Chief-mkwawa ngoja nijaribu mana ninatumia opera mini 4 editable.
   
 4. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 701
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mkuu nimekupata ila tatizo limebaki kwenye kudownload youtube kwenye N900 kwa kutumia proxy. Mana natumia ile proxy uliyoitaja hapo juu. Naomba msaada.
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Mnh umesema kudownload na sio kustream kudownload youtube its easy fata maelezo haya

  Mfano link ni

  m.youtube.com/watch?gl=US&hl=en-GB&client=mv-google&feature=m-featured&v=yKa3GUrtBxU

  Futa m. Then ongeza ss iwe

  ssyoutube.com/watch?gl=US&hl=en-GB&client=mv-google&feature=m-featured&v=yKa3GUrtBxU

  Utaona itafunguka page nyengine na upande wa kushoto utaona link ya kudownload.

  Hii trick nimeijaribu kwa opera mini inakubali ila pc browser inakubali kwa baadh ya proxy tu.

  Kama unataka kustream kwa mobile inabidi utumie bolt browser maana ndo inakubali proxy na kustream
   
 6. m

  mankind Senior Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  mkuu bolt si imeshajifia kitambo sana!!
   
 7. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 701
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  chief-mkwawa nashukuru sana yaani nimejaribu kufata maelekezo yako nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa big up mkuu.
   
Loading...