msaada pls kuhusu dvd

msaada pls kuhusu dvd

emike

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
345
Reaction score
109
wanajamii salaam zenu naomba kujuzwa ni software gani nzuri na free ya ku convert dvd au vcd kuja flv, avi au wmv nia ni ku save video hizo kutoka kwenye dvd cd kwenda kwenye lap yangu niangalie videos bila cd
 
Back
Top Bottom