Na hii je!?

Na hii je!?

Mc Chijui

Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
30
Reaction score
1
Habari wanaJF? Jamani naombeni msaada wenu ktk simu yangu 'nokia 3110c' kila nikiadd new account kwenye personal configuration inaandika 'memory full. Cannot add new account'. Yaani hata kufungua net inagoma kabisa, kila nikijaribu inasema 'invalid web settings'. Naombeni wenu wa hali yeyote. Asanteni.
 
delete account ambazo huzitaki kwenye default configuration setting ili kupata space ya new account
 
format simu yako-zima simu kisha bonyeza button ya kijani(ya kupigia simu)alama ya nyota(*)na namba 3,kisha washa simu yako pasipo kuachia button hizo tatu pamoja na button ya kuwashia simu.
 
Yaani mkuu kwenye default configuration kupo empty kabisa na access point nako empty.
 
format simu yako-zima simu kisha bonyeza button ya kijani(ya kupigia simu)alama ya nyota(*)na namba 3,kisha washa simu yako pasipo kuachia button hizo tatu pamoja na button ya kuwashia simu.

Aisee... Nimejaribu kufuata kila hatua uliyonielekeza lakini no succeses..
 
Back
Top Bottom