modem vs 4ns | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

modem vs 4ns

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Epicauta elbovitata, Mar 23, 2012.

 1. E

  Epicauta elbovitata Senior Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  holla wana wa JF
  najua kwamba unaweza ku2mia simu kama modem sasa swal langu ni iv ip faida ya ku2mia modem instead of 4n na ni vi2 gan utashndwa kufanya uk2mia net kwenye pc kwa ku2mia cmu mpaka u2mie modms.?i hop nimeeleweka.
  HELP WILL B APPRECIATED
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  Vitu unavofanya ni sawa sema modem na simu vina utofauti huu

  Modem ina speed ambayo mtandao imeuchagua mfano modem nyingi za bongo ni 3.2 hadi 3.6 mb per second

  Simu speed zake zinategemea na aina ya simu mfano nokia s40 nyingi ni 386kb per second (japo kwa pc inaandika 480kbps)

  Lakini simu hizo hizo zipo zenye speed zaidi ya modem mfano n9 kwa hdspa ina 14mb per second na kwa hsupa ina 5.7mb per second

  Then nisieleweke vibaya simu au modem haiongezi speed ya mtandao bali inaweza punguza

  Kama simu ina speed ya 386kbps ina maana kama mtandao una speed ya 900kbps simu still itatoa 386kbps (itapunguza)

  Na kama simu/modem ina 14mbps na mtandao unatoa 1mbps still speed itatoka 1mbps (haitaongeza)

  Hope umenipata
   
 3. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hamna tofauti ila simu nyingi za kisasa zina spidi kubwa zaidi ya modems
   
 4. E

  Epicauta elbovitata Senior Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nashukurun sana wakuu nimewapata vema..baada ya kujua ilo ningependa mnsaidie steps za kuconect cm yangu ni2mie kwenye pc ni nokia 2700clasic
   
 5. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sawa.
  Uwe na program ya nokia pc ambapo kupitia hiyo kwa simu za Nokia utaweza kuaccess internet though kuna baadhi ya simu mfano Samsung nimeona unaweza kukonect direct.
  Ila kikubwa mkuu tafuta moderm coz kukonect simu na kuaccess internet unauwa betri mapema.
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  Simu zinakuja na cd kama huna azima kwa rafiki ako ukikosa kabisaaaaaa download kwenye website yao nokia kitu kinaitwa nokia pc suite. Maana hizo cd ndo zina hio soft ya pc suite

  Utaconect simu na cable uchomeke kwenye desktop/laptop yako . Kama computer ina bluetooth pia waweza tumia then itapop up message katika simu yako chagua pc suite, huku kwenye computer itafunguka pc suite click one touch access then click connect, ur done
   
 7. J

  Jom.om Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kwa wenye simu za nokia.hata ovi pc suite inapiga mzigo
   
 8. E

  Epicauta elbovitata Senior Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pamoja sana wakuu wote mlionihelp
   
Loading...