Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salaam, naomba kujua kama hii anti virus PANDA inafanya kazi vizuri.
. Kuna virus nyingine nzuri but zinatumia CPU na memory sana. kapersky ni one of t resouce intensive antivirus software . .
Mkuu nimejaribu kugoogle panda kuona ubora wake, haipo hata ktk top 20.
lakini hii haimaanishi kuwa ni mbaya, hapana. ngoja waje waliowahi kuitumia watakupa taarifa zaidi.
Binafsi nakushauri tumia karspersky av ipo powa sana na inaaminika
Mkuu hapo kunaweza kuwa na tatizo kama inachukua nafasi kubwa? au inafanya compyuta kuwa nzito?
Sometime hizi antivirus ni usanii tu. Na real theat siku hizi kwenye internet sio virus bali ni spywares and the like.
So hizi kampuni zinajitahidi kujitangaza na kuwachanganya wateja. Infactkuna antivirus nyingi zinatoa false positive nyingi kuwarubuni watu kuwa zinafanya kazi vizuri.
false positive ni pale antivrus inakupa mssage imedetect na kufutavirus kumbe file inalosema wala halina madhara. Mfano ni kama software za key generators. So usi judge virus tu kwa kutoa ujumbe wa tahadhari
Soma hapa upate mwanga Antivirus software - Wikipedia, the free encyclopedia
Pia soma review za watu ujue antivirus inatumia memory kiasi gani. Kuna virus nyingine nzuri but zinatumia CPU na memory sana. kapersky ni one of t resouce intensive antivirus software . Kwenye kundi hili pia kuna antivirus kama Norton na Macfee.
Microsoft wana Antivirus Microrsot security essential amabyo kwa desktop user binafsi sioni tatizo lake na iko poa sana tu kama zilivyo Avast.
Hiyo panda sijawai kuitumia soma review za watu ujue but ukimua. nyingine jaribu kucheki Microsoft security essentials na Avast.