Jinsi ya kuangalia live football kupitia proxy!

BAOSITA

JF-Expert Member
Nov 2, 2011
368
188
Msaada jamani wale tutumiao internet ya chee kupitia proxies,je inawezekana kuangalia live football kupitia hizo proxies?
 
msaada jamani wale tutumiao internet ya chee kupitia proxies,je inawezekana kuangalia live football kupitia hizo proxies?

huwezi kutumia proxy kwasababu hizi proxy hazi support java script lakini ile trick ya zantel unaweza kustream live football movies kila kitu kwa kutumia pd roxy au cproxy lakini ubaya wa pdproxy ukifika limit yao inajidisconect lakini cproxy haiji disconect unaendelea ku stream ili mradi usifungue channel nyengine kama una stream mpira utabidi uangalie mpaka mwisho wa mpira kuna trick ambayo tunafanya ili cproxy iweze kustream maana cproxy huwezi download torrent baadhi ya web hazitzki ku stream so kuna trick tunaweka hata file 1gb lita download mpaka liishe hata kam umefika liti yao ya 200mb
 
unaweza kuangali proxy zipo za aina 2 cgi na glype hizi glype zina support streaming

ip
76.73.16.124
63.141.241.213
Port kama kawaida 80 zitest kwa youtube ili uone kama zina stream then nipe feedback
 
unaweza kuangali proxy zipo za aina 2 cgi na glype hizi glype zina support streaming

ip
76.73.16.124
63.141.241.213
Port kama kawaida 80 zitest kwa youtube ili uone kama zina stream then nipe feedback

hizi zina support youtube tu lakini webpage nyingine huwezi kustream works only with youtube kama kuna website unaangalia live mpira kwa hizi proxy weka hapa tudhibitishe zingi zinakuambia enable your java script kwa mfano watu wanaotumia pd proxy unaweza kustream any website kwasababu hatuweki proxy kwenye web browser lakini cproxy kunabaadhi ya website zinakataa connection kupitia proxy hata torrent huwezi download na cproxy mpaka utumie trick moja hivi ndo zinakubali
 
Hamna inayokubali mwana! Nltafutaga mpaka nkachokaa.. Youtube is as far u can get.
 
Back
Top Bottom