How to create Mail server in linux | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How to create Mail server in linux

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by jipitishe, Mar 22, 2012.

 1. jipitishe

  jipitishe Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Greetings!
  Kindly advice step by step how can I create and configure an e-mail server in a linux server which will be able to send and receive (SMTP) and pop mail(pop3) and also be able to manage users' e-mail accounts(such as create, delete)

  Kind regards
   
 2. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
 3. jipitishe

  jipitishe Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 4. i

  iMind JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,908
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Cant you get started by googling, read, try out and come here to ask when you stuck somewhere. I think this is the best way rather than asking that tooo general question. Namna hii unashindwa hata kujua uanzie wapi kueleza.
   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Do you want to create a mail server? Why would you want to create a mail server?
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mkuu msaidie kama huwezi kaa kimya......
   
 7. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,086
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  Kwanza kabisa ungetuambia dhumuni lako ni nini na pia hiyo server yako itakuwa nchi gani. Hii ni kwasababu kama unataka kusend mass mailing (mfano kwa rate ya 10,000 emails/hour) kuna jinsi ya kuiconfigured server yako (mfano uwezo wa ku spoofing email headers, using proxies n,k ) tofauti na kama unataka kutuma email moja moja. Pia kuna nchi zina sheria kali za kutuma unsolicited email kwahiyo kama utatuma emails zako huko bila kujua sheria zao unaweza kupata matatizo makubwa.
   
 8. jipitishe

  jipitishe Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hallow iMind
  Kwanza kabisa nashkuru kwa mchango wako nasi kwamba sikugoogle kama unavyo dhani niligoogle na nimejifunza mambo mengi from different sources even the link given by vitendo hapo juu mi nilishapita huko kitambo ila lengo la mimi kuuliza ni kama ifuatavyo:
  1: Ni kutoa fursa kwa watu(TZ) ambao washafanya hii kitu na wana uzoefu wa kutosha kutoa maelekezo hapa so that kupitia hayo maelekezo, sisi wengine tunaweza kupata cha ziada kutoka kwao(i.e different technologies from different sources kila mmoja akidadavua alivyowahi kuimpliment na urahisi wake au ugumu wake)
  2: Ni kutoa fursa kwa ambao hawajawahi kusikia, kuona au kufanya.kujifunza hii kitu kupitia jukwaa hili
  3: Kuna forum nyingi sana duniani zinazo discuss technology lkn nilipost kwenye hili jukwaa nikitaka kushare na tanzanians wherever they are ili tujadili na tujifunze hence kukuza technology

  NB:
  1:Google is there and tech-gadgets-and-science-forum is here...why do we have this forum while we can google for everything?...Tafakari kama great thinker then chukua hatua
  2:Tujijengee desturi ya kuuliza hata kama hujakwama ni kuwezesha tu kujifunza new things from others na kutoa unachokijua kwa wengine

  Lastly sidhani kama kuna ugumu wa kuelezea hicho nilicho kiuliza kama kweli unajua unless wewe ni mzee wa facebook aka full kuchat from morning to midnight
   
 9. jipitishe

  jipitishe Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks kwa advice...
  Ila achana na siasa hili ni jukwaa la technology just dadavua how to configure for mass mailing and for single mailing.....
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nimewai fanya hii kitu siku nyingi kiasi ila nilitumia kitu inaitwa Squirrelmail kwenye fedora. Unaweza kuanzia hapa kwenye hii tovuiti Uone requirement, Instllation guidelines na configurations kama ndio unachohitaji.......
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Hata hapo namsaidia pia, tatizo letu tunatafuta majibu rahisi bila kuwa na full picture. Mie nataka full picture kwanza kabla ya kujibu.
   
 12. i

  iMind JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,908
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Jukwaa hili lina limitations zake. Sidhani kama kuna mtu anaweza kuandika maelezo yote how to setup a mail server in linux. Its too broad, na ujue kuwa wachangiaji wengi wanakazi na majukumu mengine. Mwisho wa siku wataishia kukupa links tu ambazo ungeweza kupata kwa ku google.

  So ninacho propose mimi, ni kuuliza kitu ambacho kiko narrowed down to specific issue. There are so many linux flavours and so many mail server applications out there. . At least ungeuliza how to configure xxxx mail server in yyyy linux
   
Loading...