antvirus kwenye phone.

Epicauta elbovitata

Senior Member
Mar 19, 2012
143
19
Wakubwa nilikua naomba kama kuna mtu ana link ya kudownload antivirus ambazo ni effective kwenye phone aipost apa.my 4n z nokia 2700 clasic. Natanguliza shukran
 
Tumia tigo hutapata virus kwny cmu!
hahahahaaaaa :pound::pound: Botilo kuna uhusiano gani kati ya virus na mtandao wa tigo, au wanasambaza firewall kwenye simu.. Nokia 2700 classic ni Symbian S40 hivyo hauna wasiwasi wa kukumbwa na virus, hizo ni simu za java haziingii virus..Instal hii netquin antivirus 3.2 ya java lakini ni kama urembo tu haisaidii chochote.. Download Java-Apps.org
 
Pamoja sana mkuu kwa kunifungua macho
 
Kaka ingia hapa www.getjar.com humo ndani utakuta antivirus inayosuite simu yako. Itakua poa ukiifungua kupitia browser ya simu yako moja kwa moja.
Wakubwa nilikua naomba kama kuna mtu ana link ya kudownload antivirus ambazo ni effective kwenye phone aipost apa.my 4n z nokia 2700 clasic. Natanguliza shukran
 
Chelseablue.nashukuru kwa kunifumbua.mi natumia 5230 je ni symbian?maana ninayo iyo netquin kwenye simu.au nifute tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom