Kudownload torrents with idm imewekana 100% | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kudownload torrents with idm imewekana 100%

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Machozi ya Simba, Mar 22, 2012.

 1. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,108
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  Takribani kila siku watu wengi hasa wanaodowea vya bure kwa kutumia proxy wamekuwa wakipata tatizo kudownload torrents via u toorrent na kulazimika kudownload vitu vya kawaida tu well kaeni mkao wa kudownload movie torrents maana hapa nilipo mwenyewe nashusha movie kwa hasira zot ENOUGH STORIES $$$$$$ chakufanya futa proxy settings then type url KAT.PH maana hiyo ndiyo niliyojaribu hapo ntarecommend ujiunge na cheka internet ya mb 20 maana ukifuta proxy utakatwa so ukishaingia KAT.PH chagua torrent unayoitaka ,ukiona kuna notification kwamba browser imedetect download we minya cancel badala yake hiyo sehemu uliyominya hadi ikakuletea download notificatioon itabidi ui right click then chagua copy link location then nenda ZBIGZ.COM futa maandishi kwenye kibox then right click alafu minya paste then minya GO FREE subiri kidogo utaona sehemu ya kudownload ukishaiminya hakikisha kwamba inadetect download ,ikidetect minya cancel halafu iright click hiyo sehemu ya kudownload halafu select copy link sasa karudishe proxy settings ingiza lain ambayo haina hela ,kwenye ile sehemu ya kuingiza adress we itabidi uright click halafu minya paste kitu kitaanza moja kwa moja kudownload
  LASTLY PLEASE POST FEEDBACKS KAMA UMEFANIKIWA AU KAMA UMESHINDWA[/B]
   
 2. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thanks mkuu,I'm on it!Ntarudi na feedback soon!
   
 3. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa proxy zbigz imegoma,inaleta error ikishaload!Labda utueleze umetumia internet gani.
  ---Believdat---
   
 4. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,544
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Error. Torrent not found.
  Possible reasons:
  - invalid link to the torrent file;
  - torrent file is damaged;
  Please notify us about this error.
   
 5. networker

  networker JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Nivizuri kukumbushi ila hiyo ishu chief mkwawa alisha itoa
   
 6. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,108
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  okay guys chakufanya futa proxy settings then type url KAT.PH maana hiyo ndiyo niliyojaribu hapo ntarecommend ujiunge na cheka internet ya mb 20 maana ukifuta proxy utakatwa so ukishaingia KAT.PH chagua torrent unayoitaka ,ukiona kuna notification kwamba browser imedetect download we minya cancel badala yake hiyo sehemu uliyominya hadi ikakuletea download notificatioon itabidi ui right click then chagua copy link location then nenda ZBIGZ.COM futa maandishi kwenye kibox then right click alafu minya paste then minya GO FREE subiri kidogo utaona sehemu ya kudownload ukishaiminya hakikisha kwamba inadetect download ,ikidetect minya cancel halafu iright click hiyo sehemu ya kudownload halafu select copy link sasa karudishe proxy settings ingiza lain ambayo haina hela ,kwenye ile sehemu ya kuingiza adress we itabidi uright click halafu minya paste kitu kitaanza moja kwa moja kudownload
   
 7. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,108
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  workin good try it
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,776
  Likes Received: 7,093
  Trophy Points: 280
  hao jamaa kazi imewashinda server yao ni ndogo ili uweze download lazma file liwe na seeders wengi kuanzia 80 na pia lisiwe kubwa maana watu wengi wanaitumia hio site
   
 9. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,108
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  mkuu chef mkwawa we unatumia njia gani
   
 10. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Weakness hiyo go free yenyewe wamelimit speed movie ya 700mb unadownload kwa 4hrs. Kwa premium member ndo mzuka. Haina maana mabo yote File hosting hakuna torrents au nn? Natumia torrents nikibanwa sana kama file nalotaka silipati kwa hosting sites.
   
 11. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,776
  Likes Received: 7,093
  Trophy Points: 280
  Mimi pia ni kama biohazard halafu mi sana natumia simu kudownload file kubwa
   
 12. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,108
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  mkwawa ntumie process kutumia simu my phone is vry capable kama process unaona itachanganya watu plz PM
   
 13. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,108
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  Biohazard unatumia proxy gani
   
 14. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hii error iko sana kwenye site ya demonoid, kwingine mzuka
   
 15. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #15
  Mar 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,776
  Likes Received: 7,093
  Trophy Points: 280
  Yani nime maanisha kuwa situmii torrent natumia hosting files haswa mediafire na rapidshare kudownload files kubwa, na natumia simu opera 12 ya symbian ina speed nzuri sana, ipo pia python application (kama una python katika simu yako) inaitwa smart get naitumia kama nina bundle ni download accelerator isiyosupport proxy
   
Loading...