computer maintanance

ruko dkerwa

Member
Mar 23, 2012
6
0
Msaada,,kompyta yangu imegoma kuboot nifanye nn? ni LENOVO. Bado ni mpya coz nimenunua mwaka wa jana mwezi wa tisa.
 
Msaada,,kompyta yangu imegoma kuboot nifanye nn? ni LENOVO. Bado ni mpya coz nimenunua mwaka wa jana mwezi wa tisa.
  • KWenye screen ukiwasha unatokea ujumbe gani?
  • Au kuna sauti gani unasikia.(beep)
  • Lenovo ni brand name na ina model model nyingi hiyo lenovo yako ni model gani

Otherwise kama mwenyewe una utaalam anzia kwen tovuti ya lenovo dodosa wenye kipengle cha support (Lenovo Support - Diagnose and Fix (US) )
 
Back
Top Bottom