Msaada kwenye Ubuntu

SINA JINA1

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
391
151
Nikiwasha Laptop yangu inaniletea hii message

Minimal BASH- like line editing is supported for the first work,TAB list possible command completions.Anywhere else TAB list possible advice or file completions.

Naomba msaada
 
emu eleza iyo tatizo lako vizuri , apo atujakuelewa vizuri then tutajaribu kukusaidia
 
wataalamu leo wapi likizo!?

Ningependa kujua unatumia version gani ya ubuntu, lkn inawezekkana boot loader/grub ina matazitatizo. Ningekushauri u-post screen short ingekuwa rahisi. Ila kwa uzoefu wangu, mara nyingi hili tatizo hutokea kwa Ubuntu9.04 au 9.10. Km ndio hivyo jaribu hii (Hakikisha computer yako ipo connected kwenye net work)


  1. Boot computer yako kwa kutumia Ubuntu LiveCD
  2. Ikishawaka, fungua terminal (Command line interface)
  3. Type sudo grub
  4. Then ikifunguka, tafuta mahala ilipo grub kwa ku-type find /boot/grub/stage1 kwenye terminal
  5. Iambie MBR kuwa grub ipo on kwa ku-type root (hdA,B)
  6. Then type root (hd0,1)
  7. Then fix drivers kwa ku-type setup (hd0)
  8. mwisho type quit
  9. Hapo utakuwa umemaliza, restart computer, ikiwaka usi disconnect kwenye network, hakikisha una upgrade km ni old version km ni new version, basi update.

Km njia hii ikishindikana post hizo screenshort nitakupa njia mbadala itakayoendana ktk ku-solve tatizo lako. Lakini hongera sana kwa kutumia ubuntu Oparating system no two duniani baada ya Mac. Upo free na virus pamoja na uhakika wa kupata free software sawa na zile za windows.
 
Natumia 11.04.

Nashukuru sana kwa msaada wako kamanda.Kwa sasa nimeamua kuiacha Laptop napiga mchupa mitaani .Nadhani nitajaribu huo utaalamu uliyonielekeza then nikupe feedback
 
emu eleza iyo tatizo lako vizuri , apo atujakuelewa vizuri then tutajaribu kukusaidia

Niliilazimisha kuizima kwa kupress switch off button halafu nilipo iwasha ikaniletea maneno hayo niliyoandika
 
this solution solved the problem like yours
...........When the machine first froze, did you just switch it off, because you did not know how to regain control? If so, you have probably corrupted the file system and that has apparently prevented grub finding its files.

The first thing to try is to boot from the livecd, open a terminal, type su to become root, enter the root password ("root" for a standard livecd) when prompted, and then run fsck -fy /dev/sdax where ax is the letter and number of your pclos partitions. To find out which they are you can use fdisk -l (that's a lower-case 'L'). you don't need to (and can't, in fact) fsck the swap, but the / and /home or whatever you have need to be done. They must be unmounted, but should be by default with the livecd. if not, use umount /dev/sdax to unmount them.

Hopefully, once this is done, the system will now boot. If not, boot back to the livecd and use Redo MBR from the More Applications -> Configuration menu to rewrite grub and its files to the hard drive.




 
Back
Top Bottom