Waungwana ninatumia simu ya Blackberry lakini tokea nimeanza kuitumia sipati message zakutoka kwenye mtandao (natumia tigo) yaani nikinunua muda wa maongezi kwa tigo pesa ama hata nikijiunga na kufurushi cha internet sipati ujumbe wa kuunganishwa ila huduma inaingia...sasa leo nimenunua LUKU kwa kutumia simu kama kawaida message haijaingia...ni-setting gani za kufanya ili niruhusu hizi message??
Msaada wenu ni wa muhimu sana
Ahsanteni
Msaada wenu ni wa muhimu sana
Ahsanteni