Naunda tv yangu wataalam naomba msaada wa mawazo na ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naunda tv yangu wataalam naomba msaada wa mawazo na ushauri

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by LEGE, Mar 24, 2012.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Wakuu nimekaa nakuamua kuunda tv ambayo itakuwa na deck ya kuplay vcd/dvd/mp3,flash,memory card,am na fm radio,
  receiver/king'amuzi cha fta,bluetoth, na itakuwa na sowbufer .
  Vitu vyote hivyo vinakuwa sehem moja.
  Na tv yenyewe itakuwa ya mbao mpaka sasa hivi nimesha unga circuit ya vcd,dvd,mp3,flash na memory card na ninampango wa kuendelea kuviongeza .

  Msaada wenu katika mambo haya 2 ambayo yananisumbua sana.
  1-nataka nifanye mpango wa kuweka na soket(conector) ili niweze tumia kama monitor
  2-je ni vipi naweza tengeneza saketi ya remot ya kuioperate hiyo tv kwenye kuchagua toka operation 1 mpaka nyingine?? Ukiachana na remot za saketi husika??.

  TV yenyewe ni ya mbao na vitu vyote hivyo vitakuwa kwenye box 1 tu??


  0717 228064 kwa mawasiliano zaidi

  Nakaribisha maoni,ushauri,nasaha, na hata wale wa kuzodoa...
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,462
  Trophy Points: 280
  tupo arusha kwenye M4C subiri turudi....
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  TV za sku hizi mbona zina vitu vyote hivyo mkuu!...kama ni educational sawa, otherwise unapoteza muda ambao ungeutumia kwa kazi nyingine.
   
 4. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu mim sijawahi kuziona.nimewahi ona tv zenye deck ya vsh na deck ya dvd.

  Mkuu nahisi ntakuwa sijapoteza mda saana
   
 5. achengula

  achengula JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 386
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu Lege mimi si mtaalamu, lakini nikupe moyo tu. Hongera kwa hatua uliyoichukua ni mwanzo wa kufanya mambo makubwa. Wengi wanaotengeza tv leo duniani si wanzilishi, hivyo ukifanikiwa kutengeneza tv ya mbao ni tofauti kubwa sana na wengi wanaweza penda. Kwanini kumuonea wivu mbongo mwenzetu, hadi awe mchina ndo tumadmire.
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,768
  Likes Received: 7,076
  Trophy Points: 280
  ngoja nkuulize swali unafungua vifaa vya technologia ya watu then unavifunga pamoja au unatengeneza mweyewe? Mfano lens, kioo cha tv unapata wapi?

  Halafu mfano dvd za kawaida zinaplay format chache za video je wewe utaongeza hizo format? Mfano kama mkv(metrosokha)

  Mwanzo mgumu jitahidi kaka, uskate tamaa
   
 7. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ndio kwanza mwanzo, ?? au umeshafika stage?
   
 8. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Dukani kuna kitu kinauzwa ni av selecta inatumia limoti sasa sijui mfumo wa tv yako ni upi .kuna auto selekta yani ukiopeni dvd inajiamisha yenyewe kazi unayo kamaa Tushindwe hata kutengeneza vijiko ?
   
 9. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Nipigie nikupe maelekezo
   
 10. H

  HAKUNA Senior Member

  #10
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Vifaa vingi ulivyovitaji hutengenezwa na makampuni tofaut tofauti, hata tunapoona sony, nk; hawatengenezi kila kitu, vingine wananunua kutoka makampuni mengine. Kama computer utakuta ni DELL, lakini processor imetengenezwa na INTEL. Hii ndiyo shida ya wabongo kwanini huwezi amini kwamba anaweza.
   
 11. b

  balzac Member

  #11
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Hongera, na jipe Moyo ! hao wanaokuvunja moyo wamezoea kutengenezewa na wanaamini haitatokea TZ tukawa na vitu vyetu. Mi si mtaalam, but songa mbele.Hata kama hutakua umevumbua kitu kipya, Mafanikio ya Japan,China,India n.k yalianzia hapo kwa kuiga techinology then una update,then kinatoka kitu kizuri zaidi.
   
 12. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu ukisema hivyo au ukitaka nifanye kama utakavyo hakika hakuna mtu ambaye angeitwa mgunduzi duniani na hata hii techologia isingefikia hapa ilipo broo.

  Inshort siweze tengeneza kioo cha kwangu,lens mim nifanyacho ni kukusanya macircuit mbali mbali nachomoa component ninazo zihitaji then naunda circuit.
  Mfano sasa hivi nimeshapata kioo na circuit mbovu ya tv nipo kwenye sehem ya circuit ya amplifier nimeng'oa component zake zote na ninataka kuunda circuirt nyingine ya sabufer.
  Nikimaliza hapo naunda circuit ya power supply 1 ambayo itasupply power kwa circuit zote.

  Ndiyo hivyo mkuu kama kuna yoyote mwenye digital flat screen mbovu au kioo chake tu naomba tuongee biashara.
   
 13. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu haina tabu nakucheki.

  Mbona umekuwa adimu sana.
   
 14. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu hebu ni dadavulie vizuri utendaji wake na hisi hiyo kitu kama inaweza nifaa
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  About TV Machines

  What is a TV Machine?
  A TV Machine is a television diffuser. The apparent effect is to convert a high definition picture into an ultra low definition, or pixelated image. Color composition and movement are maintained while the images on the screen are rendered unrecognizable. A TV Machine can turn the relentless visual noise of television into a soothing aesthetic experience.

  [​IMG] [​IMG]1 of 5
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
  [​IMG]

  How does it work?LCD televisions project a cone of light from each pixel. The reflective walls of a square in a TV Machine blend the colors if the pixels. The semi-opaque face diffuses any fine image detail into a gradient. The result is that the entire square appears to be one 'resampled' color.
  How is it constructed?
  The body is made of foam core and hot glue. The inside of each square has a reflective surface. The face is semi-opaque acrylic.
  How is it used?
  The TV Machine should be placed directly in front of a flat screen television. It doesn't have to be in contact with the screen, but the closer the better. A TV Machine is lightweight so it can be hung from the television or propped in front of the screen with anything that's convenient. For best viewing conditions lower the lights when using a TV Machine. If you have a laptop connected to your television it will be much easier to select what to watch since you will have the second, unobstructed screen available.
  You can also place Christmas lights behind a TV Machine to use it as an accent lamp. Be sure to only use LED lights since they don't get hot.
  What should I watch?
  Almost anything can be interesting to watch on a TV Machine, except for talking heads. Music videos, such as those by the Talking Heads, work uggestions or your own favorite playlist. Another option is to put on iTunes and watch a slide show in iPhoto.
  Did you invent the TV Machine?
  No. The first TV Machine I know of was seen at the 'Television House' in Eau Claire, Wisconsin. Several musicians lived there and punk bands would stay while touring during the 90's. The original construction was tin-foil lined toilet paper tubes with tissue paper over the ends.
  My TV Machine designs are based on the Fibonacci Spiral which is itself an interesting topic if you are a geometry or design geek.
  Can I make my own TV Machine?
  You sure can. Here is a video I made with tips and tricks on making your own TV Machine.


  About TV Machines - TV Machines
  Mwaka nitakao kuja Tanzania nitafanya kitu hiki
  Make Your Own Home-Theater TV

  Mkuu Lege nakutakia Mafanikio Mema inshallah.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Shukran mkuu mzizi mkavu.
  Huwa na amini hakuna lisilowezekana chini ya jua kwa nguvu zake MOLA
   
Loading...