msaada wa kuinstall modem

msaada wa kuinstall modem

yuppie boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
213
Reaction score
49
wanajamii naombeni msaada wenu katika hili tatizo langu. Tatizo ni kwamba nikiconnect modem yangu ya vodafone k3571z during installation ina install mpaka karibu kufika mwisho na kuleta error report inayosomeka-:
Error 1722 there is problem with window installer package.A program run as part of the setup did not finnish as expected.contact your support personnel or package vendor.
Nikiclick ok inajiunstall,
wanajamii naombeni msaada wenu
 
Bila shaka unatumia windows XP. Download and install .NET FRAMEWORK 2. Itaondoa hilo tatizo,Ambalo hata mimi nilisha kumbana nalo. Lete feedback ukifanikiwa.
 
Kama kuna application zozote za voda zi uniinstall, then restart machine install upya. Kama una join air install hiyo kwanza utakuwa umesolve tatizo I guess
 
Easy...!!!!, Ina-fail ku-install kwa sababu NetBIOS over TCP/IP haifanyi kazi kutokana na kukosekana kwa WINS servers ktk operating systems ya hiyo computer, hivyo nakushauri ufanye update ktk computer to latest service pack of Windows XP. Baada ya hapo fanya installation ya hiyo mederm.

icon10.png
 
shukran nkuu na pia huko sahii mkuu ni window xp ngoja nidownload NET framework 2 nitaleta feedback
 
Kama kuna application zozote za voda zi uniinstall, then restart machine install upya. Kama una join air install hiyo kwanza utakuwa umesolve tatizo I guess

Mkuu join air ninayo na inafunguka fresh tatizo haiconnect kwenye internet.
 
Easy...!!!!, Ina-fail ku-install kwa sababu NetBIOS over TCP/IP haifanyi kazi kutokana na kukosekana kwa WINS servers ktk operating systems ya hiyo computer, hivyo nakushauri ufanye update ktk computer to latest service pack of Windows XP. Baada ya hapo fanya installation ya hiyo mederm.

icon10.png

shukran mkuu nitafanya kama ulivyosema
 
Easy...!!!!, Ina-fail ku-install kwa sababu NetBIOS over TCP/IP haifanyi kazi kutokana na kukosekana kwa WINS servers ktk operating systems ya hiyo computer, hivyo nakushauri ufanye update ktk computer to latest service pack of Windows XP. Baada ya hapo fanya installation ya hiyo mederm.

icon10.png

:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13: !!!!!!. Unajua hata ulichoanodika au umejaribu kuweka misamiati ya NetBIOS ,TCP/IP na winserver kwenye sentensi

And what has the latest Windows XP service pack got to do with TCP/IP and NetBIOS.? Can u explain?
 
Back
Top Bottom