Msaada unahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada unahitajika

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by peter mlokota, Mar 28, 2012.

 1. p

  peter mlokota Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  natumai wazima ndugu zangu
  naomba kusaidiwa kutatua ili tatzo kwenye hii PC yangu ukiiwasha inaunguruma tu na screen inakuwa haidisply chochote zaidi ya mwanga tu.aina ya PC ni ASUS
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hiyo Screen inakuwa ya rangi gani? hakuna maandishi yoyote yanatokea?
   
 3. p

  peter mlokota Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inakuwa ya blue kama vile window inavyoanza kurun lakin hakuna maandishi yeyote yanayojitkeza mkuu
   
Loading...