it iis possible mkuu ila nadhani sio durable kiviile,google dome houses utaona nyumba flani ivi simple zinatengenezwa na polyfoam japo gharama yake bado sifahamu,ni nzuri,cheaper na zinapendeza saana
kama hujui gharama mkuu mbona tena umemention kuwa ni cheaper?
Ujenzi wa hyo kitu inaweza ikachukua karibia 20m,maana bei ya contena hizo mbili 40" karibia 9m,weka ghrama za ufundi + material!!
mkuu hizo ni containers kweli , au ni chuma ngumu inayofanana na containers halafu zinaunganishwa pamoja??!!
vilevile hizo nyumba nahisi lazima ziendane na mazingira ya hali ya hewa ya mahali, mfano kwenye joto kama dari-salama zitafaa kweli ??!