Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

baada ya watu kibao kushindwa kudownload torrent kupitia clients eg bitcommet na zinginezo, nikaona si vibaya kuwapa ujuzi niliopata katika pitapita zangu kuhusu jinsi ya kudownload torrent na...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Ilikuwa www.tanzania.go.tz lakini haipatikani siku hizi? Je imehamishiwa wapi? Kuna info nahitaji mwenye kujua ilipo naomba msaada
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu! Jamani nini hufanya speed ya internet kuwa ya kasi kati ya Modem au chip ya Simu!!!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni flash zipi zinaingia kwenye tv za sony bravia na ni media file zipi zinaweza kuchezwa kwenye hio tv?
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Nimeletewa simu (nokia 6303) na jamaa yangu toka UK iko locked kwenye mtandao wa t-mobile nimejaribu mafundi kadha hapa Dar wanambia hawajui code yake. Msaada jamani wapi naweza kuifungua.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina simu samsung gt-s5233a inatumia os gani?
0 Reactions
1 Replies
800 Views
Wadau naombe iso inayoruhusu kutumi line zetu kwenye iphone 4 au namna ya kufanya cofiguration ili ikubali kusoma network zetu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naomba unlock code ya NOKIA X2 yangu bought in US. Ilikuwa na card ya T-Mobile. Asante.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeona watu wengi sana wanauziwa fladh feki especially zile za hp feki!,za kichina ambazo ni knockoffs! sasa utajuaje kama sio Original na ipi ni original? Endelea kusoma apo mimi binafsi...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Naomba anaeweza kunisaidia jinsi ya kutatua hili tatizo linanisumbua,nimejaribu kupitia web ya crack na ku download ime fail
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada wa wapi ninaweza kununua au kupata cd za ubuntu version kuanzia 10.10 na kuendelea mpaka version ya mwisho
0 Reactions
10 Replies
1K Views
nina memory card nimesave vitu muhimu vingi sana imejilock na password sina kwani nilinunua kwa mtu ikiwa na password na mi sizijui kwa kabla ilikuwa nikiweka kwenye simu ilikuwa inafanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
RANCO. Mobile IT Support. Tunauza Laptop Used. Dell latitude D630.. Intel Core 2 Duo 2.33 GHz 14.1" WXGA SATA hard drive - 120/160gb RAM 2GB Dual Channel DDR2 Shared Memory with...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nina memory card 4gb kila nikii format inagoma (unaweza kuiacha hata masaa 5 na isimalize ku format na nikijaribu kui scan inaishia 10% .
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipo mbeya natumia ungo aina ya gulf star na decoder ni mediacom kuna fundi alikuwa ananirekebishia channel cha ajabu zimekubali channel za ipp tu itv eatv na capital pamoja na mozambique kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa kuactivate Bluetooth kwenye laptop, ni dell inspiron n5040. Icon ya bluetooth inaonekana lakini ila kwenye devices bluetooth haionekani na siwez kutuma wala kupokea file...
0 Reactions
2 Replies
840 Views
Npo hapa mlimani chuo kwenye atm za nmb nilikuwa nikitoa pesa kwa pesa fasta cha kushangaza ni umeme kukatika wakati uduma inamalizikia na peza zilikuwa bado asjatoka msahada wakuu
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Saw this today and wondered, can we help to keep alive our languages for the next generations? Duolingo | Learn English, Spanish and German for free Need to learn Kikulya, but don't know where...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mambo vipi wakuu? Naombeni mwenye activator za window xp.
0 Reactions
3 Replies
870 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…