nawezaje kutuma sms kwa kutarget tu watu wa mkoa mmoja hapa tz? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nawezaje kutuma sms kwa kutarget tu watu wa mkoa mmoja hapa tz?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by qq.com, Mar 29, 2012.

 1. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nataka kutuma ujumbe wa sms kwa watu wa mkoa mmoja tu,je hii inawezekana nkiongea na watu wa makampuni ya simu?.

  wenye kujua hili wanipe idea
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Labda kwa simu zile za kamba!...kwa hizi Mobile ngumu!
   
 3. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  Hahaha PJ natafuta moja nitaipataje
   
 4. Tajiri mweusi

  Tajiri mweusi Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ninachojua mimi ni unasajili short cord yako yaaan 157777 mfano kutoka tcra then number ile unaenda kwa kampuni ambayo watahold hiyo number kwa kutumia server mfano maxmalipo,efulus then utaingia mkataba na makampuni ya simu kama ni tigo, voda n.k juu ya malipo ya hizo sms then unatangaza watu wa mkoa husika kujisubsribe kwenye huduma yako then unakuwa unawatumia hizo sms.Ila pia unaweza kutuma na mtu akaamua ku join au lah. Makampuni mengi hayatoi database ya number zao sijui kwa sasa kama wanatoa ila mwaka 2010 nilikuwanataka sikufanikiwa
   
 5. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Heshima kwako
  ninachotaka ni kutuma UJUMBE FULANI mara moja au mara mbili tu kwa wote ambao sina namba zao. Mbona wanasiasa wanaitumia sana? nakumbuka 2010 mbunge mmoja wa mkoa fulani alikuwa akitumia njia hii kuomba kura ,message ilikuwa inakwenda kwa wakazi wa wilaya moja aliokuwa akigombea.ikoje hii!
   
 6. H

  Haika JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Watu walioko leo mkoa huo? Au waliosajili simu mkoa huo? Au watu wenye kutumia minara ilio mkoa huo? Au watu waliozaliwa mkoa huo?
   
 7. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  what do u mean?
   
 8. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  namanisha kwenye blue
   
 9. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Sifanyi kazi kwenye kampuni simu lakini nmesoma soma mobile cominicationn na GSM. Hilo linawezekana. Wanachofanyakampun yasimu ni kupush mesage kwenye minara yasehemu fulani tu . Then wateja wanaopkea signal za maeneo husika wanapokea ujumbe.
   
 10. Tajiri mweusi

  Tajiri mweusi Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Niliongea na hawa jamaa wa Efulus waliniambia inawezekana ila nadhani kuna sheria inawabana wanasema mambo ya social work, majanga na matukio fulani wanafanya ila biashara na siasa ni Hiari ya mtu niliachia hapo baada ya kupata usumbufu anyway we nenda voda au zantel ni waelewa sana ila tigo na airtel wana urasimu mkubwa sana
   
Loading...