Naomba Msaada;namna ya kununua bundle za Tigo per day,week,monthly

Naomba Msaada;namna ya kununua bundle za Tigo per day,week,monthly

Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
892
Reaction score
686
Wadau nipeni msaada kwa hilo hapo huu plz!
 
kirahisi zaidi line yako iwe kwenye simu then bonyeza *148*01#
Utaona Tigo menu, chagua namba 2. then uendelee na chaguo unalotaka, aidha kwa siku, wiki, mwezi. Hamna mwaka.
 
Poa thanx mkuu nimefanikiwa kiongozi!
 
Back
Top Bottom