Msaada kuondoa tiGO CALLER TUNE

Msaada kuondoa tiGO CALLER TUNE

Kennedy

Platinum Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
62,394
Reaction score
76,127
Salaam wana JF wote. Huwa sipendi katika simu yangu hiyo kitu,muda si mrefu leo nimepigiwa simu toka 07190006...namba za mwisho sikumbuki. Baada ya kupokea kama namba ngeni,nikagundua ni tigo,nikakata simu.Muda si mrefu nimepokea sms toka namba 15007 ikinitaarifu tigo caller tune imefanikiwa bila idhini yangu. Nimeandika TOA,ONDOA,HAPANA nimetuma kwenda 15007 lakini sijafanikiwa. Mwenyekujua kuondoa msaada.
 
Back
Top Bottom