Nokia N8 yangu Haisomi line nikiiweka..

Nokia N8 yangu Haisomi line nikiiweka..

trachomatis

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2011
Posts
3,758
Reaction score
746
Jamani nipeni ushauri..

Kuna ninayemdai fedha kama laki hivi.. Akaniambia anatanguliza hiyo simu na fedha tutapigiana hesabu anailpe taratibu..

NB. Ni simu original...!
 
Kwan huyo jama toka alpokupa hiyo 4n mshaonana tena na kama bado den huyo atakuwa c mwaminifu n atakuwa aliamua kukushkisha ki2 kibovu cha samani ili umuamin n xo kwa ushaur wang jaribu kuwa check mafund simu coz ya weza kuwa sehemu ya sim card imeloose,xo ni hayo 2
 
Asante nitafanya hivyo....
Yule jamaa kasema nikiitengeneza ikapona,gharama tutakata kwenye deni..

Ndiyo nataka kujua kama inatengenezeka? Maana inawaka,touchscreen inafanya kazi,tatizo kutotambulika kwa line ikiwekwa.
 
mkuu cheki settings kama ulikua imesetiwa kwa 3G NETWORK NA KAMA UKO SEHEMU ISIYOKUA NA 3g NETWORK HAIWEZI SOMA,
 
Back
Top Bottom