Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,104
- 34,926
Wakuu Wanachama wenzangu wahusika habari za Asubuhi. Nina tatizo kwenye IPAD2 ninataka ku download Real Player na Adobe flasher player nimejaribu inakataa Ku download je kuna mtu mjuzi wa hiyo IPAD2 apate kunisaidia kuziweka hizo Software za Windows OS kwenye hiyo IPAD2? nitashukuru kwa msaada wenu natanguliza shukrani zangu kwenu nyote asante.