Kuelekea Mfumo wa Utangazaji wa Digital: Maswali na Majibu Muhimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuelekea Mfumo wa Utangazaji wa Digital: Maswali na Majibu Muhimu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MBUTAIYO, Mar 30, 2012.

 1. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Hii thread aliileta hapa jukwaani Polo, alitupatia mafunzo yenye maana sana ya Digital Video Broadcasting na Satellite Television.
  Naomba mtaalam wa haya mambo anisaidie, nina swali moja kuhusu satellite.
  Hivi unapoambiwa satellite ipo 64.2°E au 36.0°E au 46.4°W, kwenye ku-tune dish lako ili upate signal ya hiyo satellite, hiyo angle unaipataje? kuzungusha horizantally left or right au ku-adjust inclination up and down? na point ya kuanzia 0.0° kwenda E or W au direction yoyote ni wapi?
  Sisi tumezoea kuambiwa elekeza mashariki, zungusha zungusha , juu na chini, mwishowe tunapata signal kwa shida na kutumia muda mwingi sana kwa vile hatujui undani wa haya mavitu.
  Naomba msaada tafadhali.​
   
Loading...