Joikuspot wanted

Joikuspot wanted

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
52
Heshima MBELE wakuu.
Mwenye Joiku spot ya kuweka kwa BlackBerry 9000 , nahitaji sana wakuu au kuweka kwenye Laptop,

Kwa heshima watakaonipa woote wabarikiwe

idondoshe hapa nitaipata na key zake kama zipo
 
Poa kaka nidondoshee hata hiyo nina Nokia E71

joikuspot ina run kwenye symbian platform tu mkuu. Hakuna joiku ya blackberry au iphone au android kwa hivi sasa. Sidhan kama utaipata ni kwa ajili ya nokia tu
 
Au kama kuna m badala yake poa nitumieni tu hata ya NOKIA E71
 
Dah haya mambo bado yanahitaji Apps? Hotspot iko built in kwenye Android yangu, nadunda tu!!
 
najaribu kuupload inazingua' nitumie mail yako nikutumie huko...........
 
Back
Top Bottom