Wataalam na watumiaji wa ZUKU

Wataalam na watumiaji wa ZUKU

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
3,216
Reaction score
994
Mimi ninatumia king'amuzi cha Zuku lakini ningependa niweze kuongeza FTA channel katika package ya Zuku....Je inawezekana. Kama inawezekana basi tusaidiane japo niongeze channel za bure za dini; hawa jamaa wa Zuku hawana kabisa channel nzuri za dini hasa za kikristo. Nataka kuona mahubiri na nyimbo.
 
Mahubiri na nyimbo nenda kanisani
 
Kama ujui kitu.acha kuandika.watu wanauliza vya maana we unaleta utani.
 
Labda ufunge dish nyingine ya ku dekoda yao aina option ya kuweka fta chanel kwa sasa
 
Back
Top Bottom