Kwa hackers wote....msaada(sqlmap on ubuntu)

La Cosa Mia

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
271
127
Nimeinstall sqlmap kwenye ubuntu kutumia command yani "sudo apt-get install sqlmap".....inaonyesha imeinstall lakini siioni kwenye installed programs ili niweze kuitumia...mwenye uzoefu nayo anisaidie.....
 
which sqlmap au
locate sqlmap zote inabidi zikonyeshe path ya sqlmap kwenye system yako
 
mkuu blaksmith hiyo command imeshindwa ...ila nimegundua inaendaje...kwanza unainstall sqlmap kwa hii command "sudo apt-get install sqlmap" then ili kuitumia unaandika hii comman "sqlmap -u 'name of the sit' " then kila kitu kinaenda poa..
nimeshatatua tatizo...shukrani ...
 
nadhani ulijaribu hiyo command kabla hujainstall sqlmap.By the way, well done.
 
Back
Top Bottom