Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jamani wataalam(Chief Mkwawa et al), nimedownload kaspersky security ila haina option ya free trial, kwa hiyo nahitajika kununua ili nipate codes. Problem is, sina pesa, kwa hiyo naomba kusaidiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi ni mimi peke yangu au hawa Wazee wa 3.75G ya uwongo wameamua kukata Data Service tangu saa Mbili asubuhi leo. Na kama ni hivyo kwa nini hawatoi taarifa?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
I have developed a simple MS access program using MS Access 2007, but i have failed to create a login screen. Pse wadau help me codes for implementing this.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bluetooth ya Pc HP G 62 Hai detect any device je nifanyeje
0 Reactions
1 Replies
856 Views
Wakuu wenye maujuzi ya web designing nadhani itakuwa sahihi niseka wa case hii web designingI mean CSS nina issue kwenye hii Gym yangu ya mazoezi ya IT kwa vitendo . Baada ya muda nmefikiria...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nadahani wengi tunafamu umuhimu wa Task Manager katika MS Windows OSs. Kwani ndio inaonesha program zinazorun kwenye kompyuta, process zote, amount ya memory, kipaumbele cha kila process n.k...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naombeni msaada manake IDM katika computer yangu imekataa kata kata kufanya kazi baada ya kuwa ime-expire baada ya siku 30 za majaribio. Nimejaribu kufuata taratibu za kucrak lakini hakuna kitu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada site ya uhakika wa kudownload psp games mana nimejaribu kwa utaalamu wangu mdogo sijafanikiwa !!! Thanks
0 Reactions
4 Replies
397 Views
Naombeni msaada wa proxy zinazofaa kutumika kwenye IDM NA TORRENT.AU ZINAZOWEZA KUDOWNLOAD MOVIES. naombeni msaada msaada wa proxy
0 Reactions
1 Replies
3K Views
NOKIA SL3 UNLOCK LAUNCHED AT 25$. >4 WORKING HRS,REQUIRED SL3 LOGS+IMEI+MPESA @CRDB DAY EXCHANGE RATE. CONDITION:-REMOTELY CASH FIRST -PHONE ON HAND 6 WORKING HRS MUST BE TAKEN! Exchange Rates...
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Recently nimegundua nashindwa kufungua jamiiforums.com kwenye ip adress kadhaa, i was wondering kama kuna mirror site ya jamiiforums au kuna njia mbadala ya ku access jamii forums?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani wadau wa jf naomba mnitoe ushamba cku hizi nackia kuna aina nyingi za cm zikiwemo symbian,iphone,ipad na nyingine nyingi ambazo nimekuwa nikikutana na maelezo yake humu jamvini sasa shida...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman naomben msaada cm yangu haiwezi kudownload baadhi ya application nikidownload inaniandikia No valid certificate nifanyeje msaada plz nina iman tatzo langu litakwisha coz hapa kuna GREAT...
0 Reactions
4 Replies
666 Views
Here is a free Newsletter for if you have an Androide Phone or Tablets: Find Past Issues of IT-Depot Android News here January issue has just been released.
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nachofahamu mimi Airtel huwa inakata ku-connect ikiwa na 0.00. -Nimedownload PD-PROXY new version -Nikaifanyia setting zifuatazo (a)Katika option ya server nimeset DEMO SEVER (US)...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
jaman kuna hiz apps napenda mzitafute..GRAVITY na SOCIALLY ni bonge za apps kwa socialy network..yaan kali kam computer
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wakuu, natumia Nokia C 3 nilikuwa nahitaji kufanya restore factory setting ili setting zianze upya sasa tatizo inaniomba SECURITY CODE msaada security code ya NOKiA huwa ni zipi coz sijawahi tumia...
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Wakuu kuuliza si ujinga ? Nakubali kuonekana mjinga na mshamba kwa mda mfupi. Swali langu ni kwamba nitaitambuaje kuwa hii ni memory card na flash original?? Nilisha wahi nunua flash na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salamu kwenu wakuu..naomba msaada hapa kidogo wa mawazo maana mimi nina modem ya safaricom Huawei E220 na inashida ya device kujidisconnect pale tu ninapo open browser inaniambia the device is...
0 Reactions
0 Replies
606 Views
Wakubwa, Leo nimeanza safari ya miaka 2 ya kusoma Diploma ya ICT katika chuo fulani nchini Tanzania. Kwa kuwa hii fani ni pana,ningeomba wajuzi wa hii kitu wanijuze ni mambo yapi natakiwa Niyajue...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom