Msaada>> E-mail haifunguki, nifanyeje?

Msaada>> E-mail haifunguki, nifanyeje?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,461
Reaction score
5,130
Kila ninapojaribu kufumgua Email yangu ya Yahoo ili kusoma mails & mambo mengine naambiwa:

Error encountere!
Error encountered processing your last request!
Encontered Internal Server Error! Please try again later. (Error code: 500).
Je tatizo nini na nitafanyaje? Takribani mwezi mzimz sasa.
 
Hiyo e-mail ina contacts na mafaili muhimu.
 
Yahoo ndivyo walivyo siku hizi,jaribisha kufungua email yako kwenye computer nyingine,ukifanikiwa kufungua hamisha document zako gmail.
 
Du hakuna mtandao bomba km Yahoo na wenye saver kubwa
Kuna matatizo. Yametokea wanadai mkonga umekatwa na meli baharini
Tatizo lako ni kuna mtu amechezea email au password yako wao huifunga mara moja mpaka ufuate utaratibu wa kuifungua tena kwa kukutumia email a/c ingine km gmail au hotmail au watawasiliana naqqe kwa sms ya mobile yako
(usidanganye taarifa/cv zako kwani yahoo ndio wanaoongoza kwa kuzuia wezi wa mitandao)
Kuhifadhi mafail yako nenda pembeni mwa desktop ukurasa/sura ya hicho kioo/computer.chini kati utakuta neno My Folder.hapo weka mafail yako yote barua hata wosia havitapotea km ktk flash au cd/dvd
Afadhali uwe na a/c zaidi ya 2 fungua tena gmail etc utaamini yahoo bomba na haijai hata miaka
 
Naomba Email ya Yahoo, ili niweze kuwapa taarifa
 
Kila ninapojaribu kufumgua Email yangu ya Yahoo ili kusoma mails & mambo mengine naambiwa:

Error encountere!
Error encountered processing your last request!
Encontered Internal Server Error! Please try again later. (Error code: 500).
Je tatizo nini na nitafanyaje? Takribani mwezi mzimz sasa.

Duh, haupo mwenyewe bro, am also experiencing the same problem.
 
Back
Top Bottom