qq.com JF-Expert Member Joined Jan 9, 2012 Posts 367 Reaction score 123 Apr 13, 2012 #1 nahitaji hii programme lakini hawa jamaa wanadai huwezi kuitumia bila kulipia nifanyeje inatumika kwenye animation za picha katika blogs,website nk au mwenye nzuri zaidi naomba zile za kutengeneza mwenyewe,bado niko shule
nahitaji hii programme lakini hawa jamaa wanadai huwezi kuitumia bila kulipia nifanyeje inatumika kwenye animation za picha katika blogs,website nk au mwenye nzuri zaidi naomba zile za kutengeneza mwenyewe,bado niko shule
Rutunga M JF-Expert Member Joined Mar 16, 2009 Posts 1,769 Reaction score 1,393 Apr 13, 2012 #2 jaribu hapa Amara Flash Photo Animation - Download.com
qq.com JF-Expert Member Joined Jan 9, 2012 Posts 367 Reaction score 123 Apr 13, 2012 Thread starter #3 Rutunga M said: jaribu hapa Amara Flash Photo Animation - Download.com Click to expand... ngoja nijaribu nitarejea na matokeo
Rutunga M said: jaribu hapa Amara Flash Photo Animation - Download.com Click to expand... ngoja nijaribu nitarejea na matokeo