Salamu kwenu wakuu..naomba msaada hapa kidogo wa mawazo maana mimi nina modem ya safaricom Huawei E220 na inashida ya device kujidisconnect pale tu ninapo open browser inaniambia the device is...
Wakubwa,
Leo nimeanza safari ya miaka 2 ya kusoma Diploma ya ICT katika chuo fulani nchini Tanzania.
Kwa kuwa hii fani ni pana,ningeomba wajuzi wa hii kitu wanijuze ni mambo yapi natakiwa Niyajue...
Workflow Robot ERP ni mfumo wa komputa unaotumika kusimamia na kuratibu mauzo, mapato, matumizi na stoku. Hutumika kwa mpangilio uliowazi na kudhibiti kila sehemu ya biashara hasa pale...
Hali zenu wandugu. Mimi nina tatizo. Tatizo langu ni kuhusu airtel internet kila nijaribu kuunganisha bundle 400b wakati nikitumia kwenye pc speed inakuwa ndogo sana hata kama ikiwa kwenye wcdma...
Natumia simu ya 5130(Xpress Music)kama Modem katika Laptop,juzi ilikubali ila leo na jana imegoma kabisa na Settings zote zipo sawa. Nikhfungua Google Chrome inasema "THIS WEBPAGE IS NOT...
Naomba msaada ndugu zangu. Music Player ya simu yangu (Nokia E61i) inaogeza sauti mpaka mwisho bila ridhaa yangu, na haipunguzi. Je nifanyeje ili kuweka sauti kadiri nitakavyo? Naomba kuwakilisha
Jamani, nina usb flash sandisk 8gb. Nilinunua muda si mrefu. Tatizo lake kila nikiingiza kwenye laptop wakati inafunguka inachukua muda, panatokea green colour kwenye bar from left to right. Mpaka...
test opera mpya opera mini 7 kupitia website hii
http://m.opera.com/next
Ina feature mpya kama
1) now kuna homepage ambayo unaweza log in account zako za facebook na twitter, kila ukienda...
Workflow Robot ERP ni mfumo wa komputa unaotumika kusimamia na kuratibu mauzo, mapato, matumizi na stoku. Hutumika kwa mpangilio uliowazi na kudhibiti kila sehemu ya biashara hasa pale...
Kwa wale ambao wanahitaji mwanga mchana kwa sbabu nyumba/kibanda hakina madirisha, kuna namna rahisi ya kupata mwanga wa jua kwa kutumia chupa ya plastiki iliyojazwa maji. Chupa hii ikiwekwa...
Wadau kuna yeyote mwenye maujanja anisaidie plz,..........Ni kuhusu ile ofa ya saa 6 ucku ya mb 200 za bure za airtel, ikifika muda huo hawa jamaa huwa wanashusha connection speed toka HSPDA/WCDMA...
Wadau, kama swali linavyojieleza hapo juu.
Naomba niwe specific kidogo, mi nasikia wenzetu(ulaya/marekani) huwa wanafanya-filming kwanza na baadaye wanaingiza sauti kwenye picha.
Swali ni kwamba...
wadau naombeni msaada na suluhisho kuhusiana na neno la kijani ECONO linatokea katika dashboard toyota Rav4 yangu likitokea gari inakuwa nzito, je tatizo ni nini na suluhisho ni lipi!? Naombeni...
wakuu naweza pata wapi destop flatscreen nzuri na kwa bei gani? iwe na specification hizi, 80GB HDD, 2 or 1GB RAM, CDR yaani inaweza kuban, aina ya Dell. usisahaukuniandikia specification...
wakuu window media player yangu haiplay nyimbo zilizo ktk mfumo wa WAV,MPG,MP3,WMA, kiurahisi labda kwa kuforce na si kwa kudouble click au kuopt play inanisumbua coz nyimbo nyigi ni mp3 nasumbuka...
This is a 250GB ps3 with a wireless dual-shock3 controller, It comes with 5 to 10 games of your choice on the list provided below either downloaded or original CD.
Why selling?????:No time to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.