wakuu nlidownload application ambayo ina uwezo wa kuhide files in case of security,BUT nmejikuta nmehide had app yenyewe so ntafanyaj kurestore hidden files?
Wakuu leo nimeweka sh.3000 kwenye line yangu ya Airtel ili nijinafasi na bundle ya MB 400.. Cha ajabu nlipojiunga napata msg eti sina salio la kutosha..nkajaribu tena kwa mara kadhaa bdo hamna...
Yes inaezekana wapo watanzania wenye appp zao kwenye masoko ya Adroid na Ios.Lakini kwa tathmini ya haraka haraka sidhani kama zinafanya vizuri katika mauuzo .
Kilichonifanya nirushe huu uzi ni...
Wana jfer wa tek
Leo ghafla nikaamua kuitafuta sera ya ICT(TENOHAMA) Tanzania. Yap uzuri wa internet nikaipata lakini
naona
ni ya mwaka 200sijui kama hakuna revised version Kama...
Nataka kununua Tablet ya Android 2.2 lakini siijui kiundani hivyo naomba msaada wako unae jua Ubora/mazuri na Mabaya/mapungufu ya Android 2.2 .Kwani naogopa kuingia kichwa kichwa nisije kuingiliwa...
MacBook sijaitumia kwa muda mrefu sasa. Majuzi niliicharge na kujaribu kuiwasha bila mafanikio. Je tuna authorized dealer wa Apple ambaye niwaweza kumpelekea ku-troubleshoot? Nitashukuru kwa msaada.
Create a new Fiddle - jsFiddle
sample code: see this page: (might need to search for jsFiddle incase the page count changes)
http://www.virtuosimedia.com/search/javascript/2
Please naomba msaada pc yangu huzimika ghafla ninapochomeka modem ya voa,zain na tigo ila nikitumia modem ya zantel haizimiki. Tatizo laweza kuwa nini wataalamu? Msaada wenu please
Tim Armstrong, the AOL chief executive, has been facing pressure from unhappy shareholders. Photograph: Nati Harnik/AP
AOL will retain a licence for the patents and return a 'significant...
Although there's no shortage of Android tablets on the market, Lenovo's upcoming IdeaTab S2109 is rare in its use of iPad-like proportions.
The tablet, whose promotional video was spotted by...
Wataalm jamani hii website ya UDSM imekuwaje?? - University of Dar es Salaam - Tanzania - Home -
ukiifungua unakutana na - Warning: mysql_connect() [function.mysql-connect]: Too many connections...
UKITAKA KUMTAMBUA MWIZI HUNA HAJA YA KUKAA NAE MIAKA MINGI ANGALIA MAMBO YAKE ANAVYOYAFANYA,YAANI HATA KAMA KAVAA SUTI USISHANGAE KUONA HAJAFUNGA ZIPU AU KASAHAU MKANDA.
EMBU JARIBUNI KUTEMBELEA...
jamani tangu hawa jamaa watuambie kuwa wanamitambo ya 3.75G mbona muda wote inakuwa edge au gprs? kuna haja gani ya kuendelea kuwatumia wakati inachukua zaidi ya dakika 10 kufungua page moja...
mimi nataka kudownload files hasa pc games kwa kutumia torrent lakini nimeambiwa kuwa ili udownload torrent file ktk torrent site fulani ni lazima uwe umesha upload file lenye ukubwa sawa au...
wakuu mi c mtaalam wa haya madudu nahitaj kueleweshwa.kwa bahati mbaya nilifuta channels zote ktk dish . nilikuwa nashika channels za kibongo na nyingine kama ndtv hindu ,aljazera,cctv,znbc, na...
Naombeni msaada jinsi ya kupata internet settings ya nokia c1-01. Kila nikijaribu ku accept configuration settings inaniandikia "only 70 items allowed, settings discarded, halafu inatoa option ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.