Yapi Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kabla Sijanunua Hard Disk?

Yapi Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kabla Sijanunua Hard Disk?

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
8,246
Reaction score
12,796
Nahitaji kuweka hard disk mpya kwenye laptop Dell Latitude D600, natumia hii machine kwa matumizi madogo tu lakini speed ni muhimu hasa kwa games za watoto nk. Pia nataka kuongeza memory yake (RAM) kutoka 512MB hadi 1GB,
 
Back
Top Bottom