The Tan-talizer
Senior Member
- Mar 28, 2012
- 163
- 67
Jamani naomba kwa anayemjua
au anayejua mtaalamu wa hizi device za touch screen nina ki Ideos ila jamaa alikimwagia maji eti screen ilichafuka sasa kuna sehemu ya screen hairespond (option batani chini mpaka juu ya screen) Kwa Arusha au ushauri kama unao pia ntashukuru