Mwenye utaalam na laptop anahitajika haraka.

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
13,709
Reaction score
23,146
Jaman nina kalaptop kapya nimenunua Dell latitude E5520 betri yake inaonesha kuwa inatunza sana charge ila nilikuwa nina ka Hp fulan betri ikafa hivyo naombeni mnijuze namna gani naweza tunza betri hili lisife kwa muda mfupi.Sifa zake ni 500GB HDD, RAM 4GB,procesor intel i3.SITAKI KUSUMBULIWA TENA NA BETRI NAOMBENI MASHARTI GANI NIFWATE ili idumu?
 
Aaah,mi nilijua labda kunashavu la ajira bana,sijuiii hukoo kawaulize wengine,umeniudhi kwelikweli ninakaujuzi kangu na hivo vi mambo lkn sijui kunamtu anasafiria nyota yangu,yaani sipati hata kazi mweeee!!!
 
badili avarta yako jamaa 'inakera'
 
1.usiwe una plug in kwenye charge muda wote.
2.icharge ikijaa unatoa.
3.wakati unaifanyisha kazi nzito kama kuchoma cd au unafanya window installation,iweke kwenye charge ili betri iweze kudumu zaid,
4.power fluctuations huwa zinaaribu betry,hakikisha plug yako wakati wa kucharge iko tight,haichezichezi,na wakati umeme unacheza cheza unaitoa.
5.icharge had ijae,na uitumie mpaka iwe ndogo usiache laptop ikazima yenyewe kwa kuishiwa na charge.
6:kama unahitaji kuangalia movie ya cd ni vema ukaikopy kwenye hd,kuliko kuangalizia na cd moja kwa moja.
7.hakikisha huzibi tundu ambazo laptop inavuta hewa ndani kwa ajili ya kupooza processor kama kuweka kitandani,unless matundu hayo yawe pembeni.
 
Aaah,mi nilijua labda kunashavu la ajira bana,sijuiii hukoo kawaulize wengine,umeniudhi kwelikweli ninakaujuzi kangu na hivo vi mambo lkn sijui kunamtu anasafiria nyota yangu,yaani sipati hata kazi mweeee!!!

hayo ndo madhara ya kusoma IT ya pale ifm na bado utasota sana.Ushauri wng kafungue vile viduka vya kuingiza nyimbo kwenye simu
 
1.usiwe una plug in kwenye charge muda wote.
2.icharge ikijaa unatoa.
3.wakati unaifanyisha kazi nzito kama kuchoma cd au unafanya window installation,iweke kwenye charge ili betri iweze kudumu zaid,
4.power fluctuations huwa zinaaribu betry,hakikisha plug yako wakati wa kucharge iko tight,haichezichezi,na wakati umeme unacheza cheza unaitoa.
5.icharge had ijae,na uitumie mpaka iwe ndogo usiache laptop ikazima yenyewe kwa kuishiwa na charge.
6:kama unahitaji kuangalia movie ya cd ni vema ukaikopy kwenye hd,kuliko kuangalizia na cd moja kwa moja.
7.hakikisha huzibi tundu ambazo laptop inavuta hewa ndani kwa ajili ya kupooza processor kama kuweka kitandani,unless matundu hayo yawe pembeni.

asante kwa maelezo yako
 
Jaman nina kalaptop kapya nimenunua Dell latitude E5520 betri yake inaonesha kuwa inatunza sana charge ila nilikuwa nina ka Hp fulan betri ikafa hivyo naombeni mnijuze namna gani naweza tunza betri hili lisife kwa muda mfupi.Sifa zake ni 500GB HDD, RAM 4GB,procesor intel i3.SITAKI KUSUMBULIWA TENA NA BETRI NAOMBENI MASHARTI GANI NIFWATE ili idumu?
Screen Size ni ngapi? hiyo ndo kitu inatumia sana charge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom