Memory card ya camera inaonesha card error | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Memory card ya camera inaonesha card error

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ndumbayeye, Apr 11, 2012.

 1. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,812
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  natumia camera aina ya benq, memory card ya 8gb. Nikiitumia inanijibu card error nifanyeje wataalamu? Nikiiformat window haikamilishi, nkiiangalia kwenye kompyuta inaonesha iko full wakati haina kitu.
   
 2. jamadari

  jamadari JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 295
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hey just try to use card reader to formatt ur 8gb card or before formatting try to scan the card with updated Antivirus.there is a possibilty of Virus.Try Both.Good Luck

  Or Use an adapter to put it in your PC, then use the windows format tool to format it as FAT32
  . ukishindwa jaribu ku Download hii Program inaitwa Team view bonyeza hapa TeamViewer Download kisha u install kwenye computer yako unipe ID number na password yake nitaweza kukusaidia Mkuu ndumbayeye. Unatumia anti-Virus gani mkuu?
   
 3. k

  kinyanyamba Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  angalia vilevile kama imejifunga hiyo card.kuna nyingine zina "lock" na "unlock" hapo pembeni ya card
   
Loading...