Mbona speed ya internet Tccl ni ndogo?

Mbona speed ya internet Tccl ni ndogo?

BGG

Senior Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
134
Reaction score
15
ofisi yangu iko mwanza mjini, tumeunganisha static broadband access network ya tccl(kupitia wire) kwa karibu miezi 2. niliyegemea kwakuwa tccl ina mkongo wa taifa na hivyo basi kwa kujiunga nao speed itakuwa kubwa na bei rahisi.lakini speed ni ndogo mno, je u mkonga huu wa fiber optics unatendaje hivi? Naomba taarifa kwa mwenye habari sahihi
 
speed ya internet inategemea bandwidth uliyopewa, idad ya computer zinazoshare internet,.na connection yenyewe,muda si mrefu kulikuwa na tatizo kwenye fiber,sijui kama wameshamaliza kushuhulikia,maana mitandao yote ilikuwa very slow.
 
Back
Top Bottom