Mawaiba
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 417
- 151
Habari za week end wakuu. Naomba msaada wenu juu ya namna ya kurekebisha tatizo hili kwenye simu yangu. Natumia Nokia 2730. Ninapoingia kwenye internet na kutaka ku-download kitu e.g. image, program, video clip etc, huwa nashindwa kabisa, badala yake naona maelezo yanayosomeka hivi; 'Invalid Web Setting'. Browser yangu ni Opera Mini. Kama kuna mtu anayejua jinsi ya kurekebisha tatizo hili naomba anielekeze. Asanteni.