Free Pages za kudownload picha za ukutani

Makenya

Member
Jan 20, 2011
33
3
Wana JF nauliza kuna mtu anazijua free pages kwenye mtandao naweza download picha za ukutani, nimejaribu kuperuzi nyingi ni za kulipia wakubwa
 
Makenya duh! hizi picha za ukutani ni hizi za mapambo tunazonunuaga kwenye hayo maduka ya wenzetu? au
 
Last edited by a moderator:
Ni kama zile za kushorwa, au watu maarufu duniani, ssa unaweza kuzidownload then ukazitengenezea fremu, ukaziweka ukutani mkubwa
 
painting zinauzwa acha kupenda vya bure
mtafute mchoraji mzuri akuchoree what you like na frame atakuwekea
 
Back
Top Bottom