Jf kimeo?

Jf kimeo?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
mbona cku hizi wana undergo renovation daily? wats wrng with theyr servers?
 
nikiingia kwenye pc inagoma kabisa mpaka nitumie simu afu ndo vile mara ikubal mara ikatae
 
Maintainance waliyotuambia ni ya siku kama 5 imezua matatizo ya wiki sasa angalia mambo yenu yasije yakawa kama ya ccm!
 
I think maintanance ilikuwa kweli ifanyike kwa siku 5 isipokuwa ndani ya kufanya maintenance kuna vitu vikakorofishwa na ndio wanavyovitafuta ni vipi. being offline frequently inashusha interest ya users.
 
kabisa wakuu,yan saivi tunabahtisha kuifungua
 
Walisema wanataka kuboresha, mie naona ongezeko la matangazo ya biashara lakini mambo mengine yamekuwa ovyo kuliko. Hebu tuelezeni mmeboresha nini ili tuelewe na kutoa maoni yetu. Kwa mfano mie nashindwa kabisa ku reply with Quote -inanigomea yaani haikonekti.
 
TUMEREJEA: Tupe dakika chache tumalizie kazi ndogo tu
 
JF,jifunzeni kuomba msamaha kwa usumbufu na kutoa taarifa za hitilafu. mbona sisi ni waelewa?
 
Back
Top Bottom